Romans 4:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri mtu yule ambaye Bwana hataziweka dhambi zake katika kumbukumbu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri mtu yule Mwenyezi Mungu hamhesabii dhambi zake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri mtu yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni heri kwa watu, Bwana anapozifuta dhambi zao kutoka katika kumbukumbu yake!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Heri mtu yule ambaye Bwana hataziweka dhambi zake katika kumbukumbu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri mtu yule ambaye Bwana hataziweka dhambi zake katika kumbukumbu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amebarikiwa mtu yule ambaye Mungu hamhesabii dhambi zake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri mtu yule Mwenyezi Mungu hamhesabii dhambi zake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri mtu yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri mtu yule ambaye Bwana hataziweka dhambi zake katika kumbukumbu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni mtu, Bwana asiyemhesabia makosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri mtu yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutu yule Bwana asiyemuhesabia zambi zake.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yu kheri mtu yule ambae Bwana hamhesabii dhambi.