Romans 5:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nayo saburi huleta uthabiti, na uthabiti huleta tumaini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nayo saburi huleta uthabiti wa moyo, na uthabiti wa moyo huleta tumaini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ujasiri huu ni uthibitisho kuwa tuko imara. Na uthibitisho huu unatupa tumaini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
nayo saburi huleta uthabiti, na uthabiti huleta tumaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nayo saburi huleta uthabiti, na uthabiti huleta tumaini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nayo saburi huleta uthabiti wa moyo na uthabiti wa moyo huleta tumaini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nayo saburi huleta uthabiti wa moyo, na uthabiti wa moyo huleta tumaini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kazi ya subira ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nayo saburi huleta uthabiti, na uthabiti huleta tumaini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao uvumilivu huleta welekevu; nao welekevu huleta kingojeo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na uvumilivu unaleta uaminifu kamili na uaminifu ule unaleta tumaini.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na kazi ya uvumilivu uthabiti wa moyo, na kazi ya uthabiti wa moyo tumaini,