Romans 6:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, mnajua kwamba sisi tuliobatizwa tukaungana na Kristo Yesu, tulibatizwa na kuungana na kifo chake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Au hamjui ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Al-Masihi Isa tulibatizwa katika mauti yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, mmesahau kwamba sisi sote tulifanyika sehemu ya Kristo Yesu tulipobatizwa? Katika ubatizo wetu tulishiriki katika kifo chake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana, mnajua kwamba sisi tuliobatizwa tukaungana na Kristo Yesu, tulibatizwa na kuungana na kifo chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, mnajua kwamba sisi tuliobatizwa tukaungana na Kristo Yesu, tulibatizwa na kuungana na kifo chake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Au hamjui ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Au hamjui ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Al-Masihi Isa tulibatizwa katika mauti yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, mnajua kwamba sisi tuliobatizwa tukaungana na Kristo Yesu, tulibatizwa na kuungana na kifo chake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Au hamjui, ya kuwa sote tuliobatiziwa, tuwe wake Kristo Yesu, tulibatiziwa, tufe naye?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munajua hakika kwamba sisi wote tulipobatizwa tuliungana na Yesu Kristo; kwa njia hiyo tuliungana naye katika kufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Yesu Kristo, twalibatizwa katika mauti yake?