Romans 6:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, kama sisi tumeungana naye katika kufa kama yeye, vivyo hivyo tutaungana naye kwa kufufuliwa kutoka kwa wafu kama yeye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana ikiwa tumeungana naye katika mauti yake, bila shaka tutaungana naye katika ufufuo wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kristo alikufa, nasi tumeunganishwa pamoja naye kwa kufa kama yeye alivyokufa. Kwa hiyo tutaunganishwa pamoja naye kwa kufufuka kutoka katika kifo kama yeye alivyofanya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana, kama sisi tumeungana naye katika kufa kama yeye, vivyo hivyo tutaungana naye kwa kufufuliwa kutoka wafu kama yeye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, kama sisi tumeungana naye katika kufa kama yeye, vivyo hivyo tutaungana naye kwa kufufuliwa kutoka kwa wafu kama yeye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ikiwa tumeungana naye katika mauti yake, bila shaka tutaungana naye katika ufufuo wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana ikiwa tumeungana naye katika mauti yake, bila shaka tutaungana naye katika ufufuo wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, kama sisi tumeungana naye katika kufa kama yeye, vivyo hivyo tutaungana naye kwa kufufuliwa kutoka kwa wafu kama yeye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani tulivyounganika naye tulipokufa, kama alivyokufa, vivyo tutafufuka nasi, kama alivyofufuka yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa tuliungana naye kwa njia ya kufa kama yeye, tutaungana naye vilevile kwa njia ya kufufuliwa kama yeye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana kama tulivyounganika nae katika mfano wa mauti yake, kadhalika kwa mfano wa kufufuka kwake;