Romans 6:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, tunajua kwamba Kristo amekwisha fufuliwa kutoka kwa wafu na hafi tena; kifo hakimtawali tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana tunajua kwamba Al-Masihi, kwa sababu alifufuliwa kutoka kwa wafu, hawezi kufa tena; mauti haina tena mamlaka juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kristo alifufuliwa kutoka kwa wafu. Na tunajua kuwa hawezi kufa tena. Sasa mauti haina nguvu juu yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana, tunajua kwamba Kristo amekwisha fufuliwa kutoka wafu na hafi tena; kifo hakimtawali tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, tunajua kwamba Kristo amekwisha fufuliwa kutoka kwa wafu na hafi tena; kifo hakimtawali tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana tunajua kwamba Kristo, akiisha kufufuka kutoka kwa wafu, hatakufa tena, mauti haina tena mamlaka juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana tunajua kwamba Al-Masihi, kwa sababu alifufuliwa kutoka kwa wafu, hawezi kufa tena; mauti haina tena mamlaka juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, tunajua kwamba Kristo amekwisha fufuliwa kutoka kwa wafu na hafi tena; kifo hakimtawali tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani twajua, ya kuwa Kristo hafi tena kwa hivyo, alivyofufuliwa katika wafu, kifo hakina ufalme tena wa kumshika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana tunajua kwamba Kristo amefufuliwa, naye hawezi kufa tena, kwa sababu kifo hakina tena uwezo juu yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka hafi tena, mauti haimtawali tena.