Romans 7:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya na kuniua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana dhambi kwa kupata nafasi katika amri, ilinidanganya, na kupitia katika hiyo amri, ikaniua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana dhambi, kwa kupata nafasi kwa ile amri, ilinidanganya, na kwa hiyo ikaniua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Dhambi ilipata njia ya kunidanganya kwa kutumia amri ili nife.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana, dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya na kuniua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya na kuniua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana dhambi kwa kupata nafasi katika amri, ilinidanganya na kwa kupitia hiyo amri, ikaniua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana dhambi kwa kupata nafasi katika amri, ilinidanganya, na kupitia katika hiyo amri, ikaniua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana dhambi, kwa kupata nafasi kwa ile amri, ilinidanganya, na kwa hiyo ikaniua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya na kuniua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ukosaji ulianzia hapohapo penye agizo hilo, ukanidanganya, ukaniua kwa hilo agizo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana dhambi, kwa kupata nafasi kwa ile amri, ilinidanganya, na kwa hiyo ikaniua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana kutokana na amri ile, zambi ilipata njia ya kunidanganya na kuniua kufuatana na amri ile ile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana dhambi, ikipata nafasi kwa iie amri, ilinidanganya, ikaniua kwayo.