Romans 7:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi inayokaa ndani yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini, kwa kweli si mimi tena nitendaye lile nisilotaka bali ni ile dhambi inayokaa ndani yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa si mimi nafsi yangu ninayetenda hilo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini kwa hakika siyo mimi mwenyewe ninayetenda maovu. Bali dhambi inayokaa ndani yangu ndiyo inatenda hayo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi iliyo ndani yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi inayokaa ndani yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini, kwa kweli si mimi tena nitendaye lile nisilotaka bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini, kwa kweli si mimi tena nitendaye lile nisilotaka bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa si mimi nafsi yangu ninayetenda hilo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi inayokaa ndani yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa si mimi ninayekifanyiza hicho, ila ndio ukosaji unaonikalia moyoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa si mimi nafsi yangu ninayetenda hilo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi sasa si mimi ninayekifanya, lakini ni zambi inayokaa ndani yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi sasa si mimi nilitendalo, bali ile dhambi ikaayo ndani yangu.