Romans 7:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maskini miye! Nani atakayeniokoa kutoka mwili huu unaonipeleka kifoni?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wangu, mimi maskini! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wangu, maskini mimi! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mimi ni mtu mwenye taabu kiasi gani! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu unaoniletea kifo?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maskini miye! Nani atakayeniokoa kutoka katika mwili huu unaonipeleka kifoni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maskini miye! Nani atakayeniokoa kutoka mwili huu unaonipeleka kifoni?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wangu mimi maskini! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wangu mimi maskini! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wangu, maskini mimi! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maskini miye! Nani atakayeniokoa kutoka mwili huu unaonipeleka kifoni?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yamenipata mimi mtu mkiwa! Yuko nani atakayenikomboa utumwani mwa mwili huu wa kufa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wangu, maskini mimi! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole kwangu, mimi mutu wa taabu! Ni nani atakayeniokoa kutoka katika mwili huu unaokuwa wa kufa?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ole wangu mimi bin Adamu! nani atakaeniokoa na mwili huu wenye kunifisha.