Romans 8:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani atakayewashtaki wateule wa Mungu? Mungu mwenyewe huwaondolea hatia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani atakayewashtaki wale ambao Mungu amewateua? Mungu ndiye anayewahesabia haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nani atakayewashitaki watu waliochaguliwa na Mungu? Hayupo! Mungu ndiye hutuhesabia haki.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni nani atakayewashtaki wateule wa Mungu? Mungu mwenyewe huwaondolea hatia!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani atakayewashtaki wateule wa Mungu? Mungu mwenyewe huwaondolea hatia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani atakayewashtaki wale ambao Mungu amewachagua? Ni Mungu mwenyewe ndiye mwenye kuwahesabia haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani atakayewashtaki wale ambao Mungu amewateua? Ni Mungu mwenyewe ndiye mwenye kuwahesabia haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani atakayewashtaki wateule wa Mungu? Mungu mwenyewe huwaondolea hatia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Yuko nani atakayewasuta waliochaguliwa na Mungu? Mungu yuko anayewashuhudia kuwa waongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani anayeweza kuwashitaki watu ambao Mungu alijichagulia? Hakuna hata mumoja! Mungu peke yake amewahesabia haki mbele yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ni nani atakaewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye awahesabiae haki.