Romans 9:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena si hayo tu, ila pia Rebeka naye alipata mapacha kwa baba mmoja, yaani Isaka, babu yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wala si hivyo tu, bali pia watoto aliowazaa Rebeka walikuwa na baba huyo huyo mmoja, yaani baba yetu Isaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala si hivyo tu, lakini Rebeka naye, akiisha kuchukua mimba kwa mume mmoja, naye ni Isaka, baba yetu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na si hivyo tu. Kitu kama hicho kilimtokea Rebeka ambaye baada ya kupata mimba ya wana wawili mapacha waliotokana na baba mmoja, baba yetu Isaka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena si hayo tu ila pia Rebeka naye alipata mapacha kwa baba mmoja, yaani Isaka, babu yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena si hayo tu, ila pia Rebeka naye alipata mapacha kwa baba mmoja, yaani Isaka, babu yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wala si hivyo tu, bali pia watoto aliowazaa Rebeka walikuwa na baba huyo huyo mmoja, yaani, baba yetu Isaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wala si hivyo tu, bali pia watoto aliowazaa Rebeka walikuwa na baba huyo huyo mmoja, yaani, baba yetu Isaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala si hivyo tu, lakini Rebeka naye, akiisha kuchukua mimba kwa mume mmoja, naye ni Isaka, baba yetu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena si hayo tu, ila pia Rebeka naye alipata mapacha kwa baba mmoja, yaani Isaka, babu yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hivyo haikuwa hapo tu, ilikuwa napo hapo, Rebeka alipopata mimba kwake yule mmoja aliye baba yetu Isaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala si hivyo tu, lakini Rebeka naye, akiisha kuchukua mimba kwa mume mmoja, naye ni Isaka, baba yetu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na si vile tu; Rebeka alikuwa na watoto wawili aliowazaa na mume mumoja, ndiye babu yetu Isaka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala si hivyo tu, lakini Rebeka nae, akiisha kuchukua mimba kwa mmoja, nae ni Isaak baba yetu—