Romans 9:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Labda utaniuliza: “Ikiwa mambo yako hivyo, Mungu anawezaje kumlaumu mtu? Nani awezaye kuyapinga mapenzi yake?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi mtaniambia, “Kama ni hivyo, kwa nini basi bado Mungu anatulaumu? Kwa maana ni nani awezaye kupinga mapenzi yake?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, utaniambia, Mbona angali akilaumu? Kwa maana ni nani ashindanaye na kusudi lake?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo utaniuliza, “Ikiwa unayosema ni kweli, kwa nini Mungu amlaumu mtu yeyote kwa kufanya makosa? Hayupo anayeweza kukataa kufanya yale anayotaka Mungu, Je, yupo?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Labda utaniuliza: “Ikiwa mambo yako hivyo, Mungu anawezaje kumlaumu mtu? Nani awezaye kuyapinga mapenzi yake?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Labda utaniuliza: “Ikiwa mambo yako hivyo, Mungu anawezaje kumlaumu mtu? Nani awezaye kuyapinga mapenzi yake?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi mtaniambia, “Kama ni hivyo, kwa nini basi bado Mungu anatulaumu? Kwa maana ni nani awezaye kupinga mapenzi yake?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi mtaniambia, “Kama ni hivyo, kwa nini basi bado Mungu anatulaumu? Kwa maana ni nani awezaye kupinga mapenzi yake?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, utaniambia, Mbona angali akilaumu? Kwa maana ni nani ashindanaye na kusudi lake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Labda utaniuliza: “Ikiwa mambo yako hivyo, Mungu anawezaje kumlaumu mtu? Nani awezaye kuyapinga mapenzi yake?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Labda utaniambia: Mbona hutukamia? Kwani yuko nani ayapingaye mapenzi yake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, utaniambia, Mbona angali akilaumu? Kwa maana ni nani ashindanaye na kusudi lake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Labda utaniambia: “Ikiwa ni vile, sababu gani Mungu anawashitaki watu? Kwa maana hakuna anayeweza kupingana na mapenzi yake.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, utaniambia, Mbona angali akilaumu? Kwa maana nani aliyeshindana na kusudi lake?