Romans 9:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana sisi ndio hao aliowaita, si kutoka miongoni mwa Wayahudi tu bali pia kutoka kwa watu wa mataifa mengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi vyombo ni sisi, ambao pia alituita, sio kutoka kwa Wayahudi peke yao, bali pia kutoka kwa watu wa Mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndio sisi aliotuita, si watu wa Wayahudi tu, ila na watu wa Mataifa pia?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sisi ndiyo watu hao, ambao Mungu alituchagua si tu kutoka kwa Wayahudi lakini pia kutoka kwa wale wasio Wayahudi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana sisi ndio hao aliowaita, si tu kutoka miongoni mwa Wayahudi bali pia kutoka kwa watu wa mataifa mengine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana sisi ndio hao aliowaita, si kutoka miongoni mwa Wayahudi tu bali pia kutoka kwa watu wa mataifa mengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yaani pamoja na sisi, ambao pia alituita, si kutoka kwa Wayahudi peke yao, bali pia kutoka kwa watu Mataifa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yaani pamoja na sisi, ambao pia alituita, si kutoka kwa Wayahudi peke yao, bali pia kutoka kwa watu wa Mataifa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndio sisi aliotuita, si watu wa Wayahudi tu, ila na watu wa Mataifa pia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana sisi ndio hao aliowaita, si kutoka miongoni mwa Wayahudi tu bali pia kutoka kwa watu wa mataifa mengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao ndio, aliowaita kwenye Wayuda nako kwenye wamizimu, nasi tumo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndio sisi aliotuita, si watu wa Wayahudi tu, ila na watu wa Mataifa pia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndio sisi tulioitwa naye, si toka kati ya Wayuda tu, lakini toka kati ya watu wa mataifa mengine vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ndio sisi tulioitwa nae, si watu wa Wayahudi tu, illa watu wa mataifa pia, utasemaje?