Romans 9:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana ndivyo asemavyo katika kitabu cha Hosea: “Wale waliokuwa ‘Si watu wangu’ nitawaita: ‘Watu wangu!’ Naye ‘Sikupendi’ ataitwa: ‘Mpenzi wangu!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama alivyosema Mungu katika Hosea: “Nitawaita ‘watu wangu’ wale ambao si watu wangu; nami nitamwita ‘mpendwa wangu’ yeye ambaye si mpendwa wangu,”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni kama vile alivyosema katika Hosea, Nitawaita watu wangu wale wasiokuwa watu wangu, Na mpenzi wangu yeye asiyekuwa mpenzi wangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama Mungu anavyosema katika kitabu cha Hosea, “Watu wasiokuwa wangu, nitasema ni watu wangu. Na watu ambao sikuwapenda, nitasema ni watu ninaowapenda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana ndivyo asemavyo katika kitabu cha Hosea: “Wale waliokuwa Si watu wangu nitawaita: Watu wangu! Naye Sikupendi ataitwa: Mpenzi wangu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana ndivyo asemavyo katika kitabu cha Hosea: “Wale waliokuwa ‘Si watu wangu’ nitawaita: ‘Watu wangu!’ Naye ‘Sikupendi’ ataitwa: ‘Mpenzi wangu!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile Mungu asemavyo katika Hosea: “Nitawaita ‘watu wangu’ wale ambao si watu wangu; nami nitamwita ‘mpenzi wangu’ yeye ambaye si mpenzi wangu,”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile Mungu asemavyo katika Hosea: “Nitawaita ‘watu wangu’ wale ambao si watu wangu; nami nitamwita ‘mpenzi wangu’ yeye ambaye si mpenzi wangu,”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni kama vile alivyosema katika Hosea, Nitawaita watu wangu wale wasiokuwa watu wangu, Na kumwita mpenzi wangu yeye asiyekuwa mpenzi wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana ndivyo asemavyo katika kitabu cha Hosea: “Wale waliokuwa ‘Si watu wangu’ nitawaita: ‘Watu wangu!’ Naye ‘Sikupendi’ ataitwa: ‘Mpenzi wangu!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, anavyosema hata kinywani mwa Hosea: Aliitwa: Si ukoo wangu nitamwita: Ukoo wangu, naye asiyependwa nitamwita Mpendwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni kama vile alivyosema katika Hosea, Nitawaita watu wangu wale wasiokuwa watu wangu, Na mpenzi wangu yeye asiyekuwa mpenzi wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni vile anavyosema katika maandiko haya ya nabii Hosea: “Wale waliokuwa si watu wangu nitawaita sasa ‘Watu wangu.’ Taifa lile nililokosa kulipenda nitaliita sasa ‘Mupendwa wangu.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ni vile alivyosema katika Hosea, Nitawaita wale kuwa watu wangu wasiokuwa watu wangu, Na yeye mpenzi wangu asiyekuwa mpenzi wangu.