Romans 9:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye nabii Isaya, kuhusu Israeli anapaza sauti: “Hata kama wazawa wa Israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni wachache tu watakaookolewa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaya anapaza sauti na kusema kuhusu Israeli kwamba: “Ingawa idadi ya Waisraeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni mabaki yao tu watakaookolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaya naye atoa sauti yake juu ya Israeli, kusema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na Isaya huililia Israeli: “Wako watu wengi sana wa Israeli, kuliko mchanga ulio pwani ya baharini. Lakini wachache wao watakaookolewa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye nabii Isaya, kuhusu Israeli anapaaza sauti: “Hata kama watoto wa Israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni wachache tu watakaookolewa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye nabii Isaya, kuhusu Israeli anapaza sauti: “Hata kama wazawa wa Israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni wachache tu watakaookolewa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaya anapiga kelele kuhusu Israeli: “Ingawa idadi ya wana wa Israeli ni wengi kama mchanga ulioko pwani ya bahari, ni mabaki yao tu watakaookolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaya anapiga kelele kuhusu Israeli: “Ingawa idadi ya wana wa Israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni mabaki yao tu watakaookolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isaya naye atoa sauti yake juu ya Israeli, kusema, Hesabu ya wana wa Israeli, ijapokuwa ni kama mchanga wa bahari, ni mabaki yao tu watakaookolewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye nabii Isaya, kuhusu Israeli anapaza sauti: “Hata kama wazawa wa Israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni wachache tu watakaookolewa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yesaya anawasemea Waisiraeli na kupaza sauti: Wana wa Waisiraeli ijapo wawe wengi kama mchanga wa ufukoni, watakaookoka watakuwa sao tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaya naye atoa sauti yake juu ya Israeli, kusema, Hesabu ya wana wa Israeli, ijapokuwa ni kama mchanga wa bahari, ni mabaki yao tu watakaookolewa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isaya alisema kwa sauti juu ya Waisraeli: “Ijapokuwa Waisraeli ni wengi kama muchanga wa bahari, ni wachache tu watakaookolewa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Isaya nae atoa santi yake juu ya Israeli, Hesabu ya wana wa Israeli, ijapokuwa kama mchanga wa bahari, ni mabaki yao tu watakaookolewa.