Romans 9:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana, Bwana ataitekeleza upesi hukumu yake kamili juu ya ulimwengu wote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ataitekeleza hukumu yake duniani kwa haraka na kwa ukamilifu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Bwana atalitekeleza neno lake juu ya nchi, akilimaliza na kulikata.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo, Bwana atakamilisha kwa haraka aliyosema atayafanya duniani.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
maana, Bwana ataitekeleza upesi hukumu yake kamili juu ya ulimwengu wote.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana, Bwana ataitekeleza upesi hukumu yake kamili juu ya ulimwengu wote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa Bwana ataitekeleza hukumu yake duniani kwa haraka na kwa ukamilifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ataitekeleza hukumu yake duniani kwa haraka na kwa ukamilifu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana Bwana atalitekeleza neno lake juu ya nchi, akilimaliza na kulikata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana, Bwana ataitekeleza upesi hukumu yake kamili juu ya ulimwengu wote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana ndiye atakayevimaliza, atakapolitimiza Neno lake nchini kwa kulikata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Bwana atalitekeleza neno lake juu ya nchi, akilimaliza na kulikata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana Baba atatimiza kabisa kusudi lake juu ya dunia bila kukawia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana Bwana atalitekeleza neno lake juu ya inchi, akilimaliza na kulikata.