Romans 9:29 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni kama Isaya alivyosema hapo awali: “Bwana wa majeshi asingalituachia baadhi ya watoto wa Israeli, tungalikwisha kuwa kama Sodoma, tungalikwisha kuwa kama Gomora.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni kama vile alivyotabiri Isaya, akisema: “Kama Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, hakutuachia uzao, tungekuwa kama Sodoma, tungefanana na Gomora.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kama Isaya alivyotangulia kunena,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni kama vile alivyosema Isaya: “Ikiwa Bwana Mwenye Uweza wote asingewaruhusu watu wachache wakaishi, tungekuwa tumeangamizwa kabisa, kama vile miji miovu ya Sodoma, na Gomora.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni kama Isaya alivyosema hapo awali: “Kama Bwana Mwenye Nguvu asingalituachia baadhi ya watoto wa Israeli, tungalikwisha kuwa kama Sodoma, tungalikwisha kuwa ma Gomora.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni kama Isaya alivyosema hapo awali: “Bwana wa majeshi asingalituachia baadhi ya watoto wa Israeli, tungalikwisha kuwa kama Sodoma, tungalikwisha kuwa kama Gomora.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni kama vile alivyotabiri Isaya akisema: “Kama Bwana Mwenye Nguvu Zote asingetuachia uzao, tungalikuwa kama Sodoma, tungalikuwa kama Gomora.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni kama vile alivyotabiri Isaya akisema: “Kama Bwana Mwenye Nguvu Zote asingelituachia uzao, tungelikuwa kama Sodoma, tungelifanana na Gomora.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kama Isaya alivyotangulia kunena, Kama Bwana wa majeshi asingalituachia uzao, Tungalikuwa kama Sodoma, tungalifananishwa na Gomora.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni kama Isaya alivyosema hapo awali: “Bwana wa majeshi asingalituachia baadhi ya watoto wa Israeli, tungalikwisha kuwa kama Sodoma, tungalikwisha kuwa kama Gomora.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo ndivyo, Yesaya alivyosema kale: Bwana Mwenye vikosi kama asingalitusazia uzao, tungalikuwa kama Sodomu, tungalifanana na Gomora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kama Isaya alivyotangulia kunena, Kama Bwana wa majeshi asingalituachia uzao, Tungalikuwa kama Sodoma, tungalifananishwa na Gomora.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kama vile Isaya alivyokuwa ametangulia kusema: “Kama Bwana wa Majeshi hangetuponyeshea wamoja wa wazao wetu, ingetutokea sawa Sodoma, ingegeuka kwetu sawa Gomora.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kama isaya alivyotangulia kunena, Kama Bwana wa Sabaoth asingalituachia uzao, Tungalikuwa kama Sodoma, tungalifananishwa na Gomora.