Romans 9:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hali watu wa Israeli ambao walitafuta sheria ya kuwafanya kuwa waadilifu, hawakuipata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kupitia kwa sheria, hawakuipata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali Israeli wakiifuata sheria ya haki hawakuifikilia ile sheria.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na vipi kuhusu watu wa Israeli? Wao walitaka kujipatia kibali cha Mungu kwa kuifuata sheria. Je, tunasema kuwa hawakufanikiwa?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
hali watu wa Israeli waliokuwa wakitafuta Sheria iletayo kukubaliwa kuwa waadilifu, hawakuipata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hali watu wa Israeli ambao walitafuta sheria ya kuwafanya kuwa waadilifu, hawakuipata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali Israeli wakiifuata sheria ya haki hawakuifikia ile sheria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hali watu wa Israeli ambao walitafuta sheria ya kuwafanya kuwa waadilifu, hawakuipata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Waisiraeli walioyafuata Maonyo yenye wongufu hawakuyafikia hayo Maonyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali Israeli wakiifuata sheria ya haki hawakuifikilia ile sheria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa ngambo ingine, Waisraeli waliokuwa wakitafuta Sheria kusudi kwa njia yake wapate kuhesabiwa haki mbele ya Mungu, hawakuifikia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali Israeli wakiifuata sharia ya haki hawakuifikilia ile sharia.