Romans 9:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisemi kwamba ahadi ya Mungu imebatilika; maana si watu wote wa Israeli ni wateule wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Si kwamba neno la Mungu limeshindwa. Kwa maana si kila Mwisraeli ambaye ni wa uzao utokanao na Israeli ni Mwisraeli halisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Si kana kwamba neno la Mungu limetanguka. Maana hawawi wote Waisraeli walio wa uzao wa Israeli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sina maana kuwa Mungu alishindwa kutimiza ahadi yake kwa Wayahudi. Lakini kwa hakika ni baadhi tu ya Waisraeli ndiyo watu wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sisemi kwamba ahadi ya Mungu imebatilika; maana si watu wote wa Israeli ni wateule wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisemi kwamba ahadi ya Mungu imebatilika; maana si watu wote wa Israeli ni wateule wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Si kwamba Neno la Mungu limeshindwa. Kwa maana si kila Mwisraeli ambaye ni wa uzao utokanao na Israeli ni Mwisraeli halisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Si kwamba Neno la Mungu limeshindwa. Kwa maana si kila Mwisraeli ambaye ni wa uzao utokanao na Israeli ni Mwisraeli halisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Si kana kwamba neno la Mungu limetanguka. Maana hawawi wote Waisraeli walio wa uzao wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisemi kwamba ahadi ya Mungu imebatilika; maana si watu wote wa Israeli ni wateule wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sisemi hivyo, kwamba Neno lake Mungu limetenguka. Kwani walio kizazi chake Isiraeli sio wote Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Si kana kwamba neno la Mungu limetanguka. Maana hawawi wote Waisraeli walio wa uzao wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisemi kwamba ahadi ya Mungu haikutimia. Kwa maana si wote wanaotoka katika uzao wa Israeli ndio Waisraeli wa kweli,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Si kana kwamba neno la Mungu limetanguka; maana hawawi wote Waisraeli walio wa uzao wa Israeli.