Ruth 1:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kumwambia, “La hasha! Tutakwenda pamoja nawe kwa watu wako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakamwambia, “Tutarudi pamoja na wewe kwa watu wako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia, La, sivyo; lakini tutarudi pamoja nawe kwa watu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kumwambia, “La hasha! Tutakwenda pamoja nawe kwa watu wako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakamwambia, “Tutarudi pamoja na wewe nyumbani kwa watu wako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakamwambia, “Tutarudi pamoja na wewe nyumbani kwa watu wako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia, La, sivyo; lakini tutarudi pamoja nawe kwa watu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kumwambia, “La hasha! Tutakwenda pamoja nawe kwa watu wako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia: Tutarudi pamoja na wewe kwa watu wa ukoo wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia, La, sivyo; lakini tutarudi pamoja nawe kwa watu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kumwambia: “Hapana hata kidogo! Tutakwenda pamoja nawe kwa watu wako.”