Ruth 1:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Naomi akawasihi, “Rudini, binti zangu. Kwa nini kunifuata? Je, mnafikiri naweza kupata tena watoto watakaokuwa waume zenu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Naomi akasema, “Rudini nyumbani, binti zangu. Kwa nini mnifuate? Je, mimi nitaweza tena kuwa na wana wengine ambao wataweza kuwaoa ninyi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Naomi akasema, Enyi wanangu, mrejee; kwani kufuatana na mimi? Je! Mimi ninao watoto wa kiume tena tumboni mwangu, hata wawe waume zenu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Naomi akawasihi, “Rudini, binti zangu. Kwa nini kunifuata? Je, mnafikiri naweza kupata tena watoto watakaokuwa waume zenu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Naomi akasema, “Rudini nyumbani, binti zangu. Kwa nini mnifuate? Mimi nitaweza tena kuwa na wana wengine, ambao wataweza kuwaoa ninyi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Naomi akasema, “Rudini nyumbani, binti zangu. Kwa nini mnifuate? Je, mimi nitaweza tena kuwa na wana wengine ambao wataweza kuwaoa ninyi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Naomi akasema, Enyi wanangu, rudini; kwa nini mfuatane nami? Je! Mimi ninao watoto wa kiume tena tumboni mwangu, hata wawe waume zenu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Naomi akawasihi, “Rudini, binti zangu. Kwa nini kunifuata? Je, mnafikiri naweza kupata tena watoto watakaokuwa waume zenu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naomi akawaambia: Rudini, wanangu! Sababu gani mnataka kwenda na mimi? Niko na wana bado tumboni mwangu, wawe waume wenu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Naomi akasema, Enyi wanangu, mrejee; kwani kufuatana na mimi? Je! Mimi ninao watoto wa kiume tena tumboni mwangu, hata wawe waume zenu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Naomi akawasihi: “Murudi, wabinti zangu. Kwa nini kunifuata? Munafikiri ninaweza kupata tena watoto watakaokuwa waume zenu?