Ruth 1:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
je, mngeweza kungoja mpaka wakue? Je, mngeweza kujizuia msiolewe na waume wengine? Sivyo, binti zangu! Mambo yangu ni magumu mno kwa ajili yenu, maana Mwenyezi-Mungu amenipiga kipigo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
je, mngesubiri hadi wakue? Mngebakia bila kuolewa mkiwasubiri? La, hasha, binti zangu. Nimepata uchungu kuliko ninyi, kwa sababu mkono wa Mwenyezi Mungu umekuwa kinyume nami!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
je! Mngesubiri hata watakapokuwa watu wazima? Mngejizuia msiwe na waume? La, sivyo, wanangu; maana ni vigumu kwangu kuliko kwenu, kwa sababu mkono wa Bwana umetoka juu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
je, mngeweza kungoja mpaka wakue? Je, mngeweza kujizuia msiolewe na waume wengine? Sivyo, binti zangu! Mambo yangu ni magumu mno kwa ajili yenu, maana Mwenyezi-Mungu amenipiga kipigo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
je, mngesubiri mpaka wakue? Mngebakia bila kuolewa mkiwasubiri? La, hasha, binti zangu. Nimepata uchungu kuliko ninyi, kwa sababu mkono wa BWANA umekuwa kinyume nami!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
je, mngesubiri mpaka wakue? Mngebakia bila kuolewa mkiwasubiri? La, hasha, binti zangu. Nimepata uchungu kuliko ninyi, kwa sababu mkono wa bwana umekuwa kinyume nami!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
je! Mngesubiri hata watakapokuwa watu wazima? Mngejizuia msiwe na waume? La, sivyo, wanangu; maana ni vigumu kwangu kuliko kwenu, kwa sababu mkono wa BWANA umetoka juu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
je, mngeweza kungoja mpaka wakue? Je, mngeweza kujizuia msiolewe na waume wengine? Sivyo, binti zangu! Mambo yangu ni magumu mno kwa ajili yenu, maana Mwenyezi-Mungu amenipiga kipigo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
je? Ninyi mngeweza kuvumilia, mpaka wakiwa wakubwa? Mngeweza kufungiwa, kwa kuwa hamna waume? Msifanye hivyo, wanangu! Kwani naona uchungu mwingi sana kwa ajili yenu, kwa kuwa mkono wa Bwana umenitokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
je! Mngesubiri hata watakapokuwa watu wazima? Mngejizuia msiwe na waume? La, sivyo, wanangu; maana ni vigumu kwangu kuliko kwenu, kwa sababu mkono wa BWANA umetoka juu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mungeweza kungoja mpaka wakomae? Mungeweza kujizuia musiolewe na wanaume wengine? Sivyo, wabinti zangu! Mambo yangu ni magumu sana kwa ajili yenu, maana Yawe amenipiga pigo.”