Ruth 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo walipaza sauti wakaanza kulia tena. Ndipo Orpa akamkumbatia mkwewe, akamuaga na kurudi nyumbani; lakini Ruthu, akaandamana naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakalia tena kwa sauti. Orpa akambusu mama mkwe wake, akaenda zake, lakini Ruthu akaambatana naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakapaza sauti zao, wakalia tena, na Orpa akambusu mkwewe, lakini Ruthu akaambatana naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo walipaza sauti wakaanza kulia tena. Ndipo Orpa akamkumbatia mkwewe, akamuaga na kurudi nyumbani; lakini Ruthu, akaandamana naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakalia tena kwa sauti. Orpa akambusu mama mkwe wake akaenda zake, lakini Ruthu akaambatana naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakalia tena kwa sauti. Orpa akambusu mama mkwe wake, akaenda zake, lakini Ruthu akaambatana naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakapaza sauti zao, wakalia tena, na Orpa akambusu mkwewe, lakini Ruthu akaambatana naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo walipaza sauti wakaanza kulia tena. Ndipo Orpa akamkumbatia mkwewe, akamuaga na kurudi nyumbani; lakini Ruthu, akaandamana naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipozipaza sauti zao tena, wakalia machozi. Kisha Orpa akamnonea mkwewe, lakini Ruti akaandamana naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakapaza sauti zao, wakalia tena, na Orpa akambusu mkwewe, lakini Ruthu akaambatana naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo wakalalamika wakaanza kulia tena. Halafu Orupa akamukumbatia mama mukwe wake, akamwaga na kurudi kwao. Lakini Ruta, akashikamana naye.