Ruth 1:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi Naomi akamwambia, “Ruthu, tazama dada yako amerudi nyumbani kwake na kwa mungu wake; basi, nawe pia urudi, umfuate dada yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naomi akamwambia, “Tazama, mwenzako anarejea kwa watu wake na kwa miungu yake. Rudi pamoja naye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akasema, Tazama, shemeji yako amerejea kwa watu wake, na kwa mungu wake; basi urejee wewe umfuate shemeji yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi Naomi akamwambia, “Ruthu, tazama dada yako amerudi nyumbani kwake na kwa mungu wake; basi, nawe pia urudi, umfuate dada yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naomi akamwambia, “Tazama, mwenzako anarejea kwa watu wake na kwa miungu yake. Rudi pamoja naye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naomi akamwambia, “Tazama, mwenzako anarejea kwa watu wake na kwa miungu yake. Rudi pamoja naye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akasema, Tazama, dada yako amerudi kwa watu wake, na kwa mungu wake; basi urudi nawe ukamfuate dada yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi Naomi akamwambia, “Ruthu, tazama dada yako amerudi nyumbani kwake na kwa mungu wake; basi, nawe pia urudi, umfuate dada yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Tazama, dada yako amerudi kwao na kwa Mungu wao; rudi nawe kumfuata dada yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akasema, Tazama, shemeji yako amerejea kwa watu wake, na kwa mungu wake; basi urejee wewe umfuate shemeji yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Naomi akamwambia: “Ruta, angalia dada yako amerudi kwao na kwa mungu wake; basi, nawe vilevile urudi, umufuate dada yako.”