Ruth 1:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pale utakapofia hapo nitakufa nami, na papo hapo nitazikwa; Mwenyezi-Mungu anipe adhabu kali kama nikitenganishwa nawe isipokuwa tu kwa kifo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pale utakapofia nami nitafia hapo, na papo hapo nitazikwa. Mwenyezi Mungu na aniadhibu vikali, kama kitu kingine chochote kitanitenga nawe isipokuwa kifo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pale utakapokufa nitakufa nami, Na papo hapo nitazikwa; Bwana anitende vivyo na kuzidi, Ila kufa tu kutatutenga wewe nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pale utakapofia hapo nitakufa nami, na papo hapo nitazikwa; Mwenyezi-Mungu anipe adhabu kali kama nikitenganishwa nawe isipokuwa tu kwa kifo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pale utakapofia nami nitafia hapo na papo hapo nitazikwa. BWANA na aniadhibu vikali, kama kitu kingine cho chote kitanitenga nawe isipokuwa kifo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pale utakapofia nami nitafia hapo, na papo hapo nitazikwa. bwana na aniadhibu vikali, kama kitu kingine chochote kitanitenga nawe isipokuwa kifo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pale utakapofia ndipo nitakufa nami, Na papo hapo nitazikwa; BWANA anitende vivyo hivyo na kuzidi, Ila kufa tu kutatutenga wewe nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pale utakapofia hapo nitakufa nami, na papo hapo nitazikwa; Mwenyezi-Mungu anipe adhabu kali kama nikitenganishwa nawe isipokuwa tu kwa kifo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakakokufa, ndiko, nitakakofia, tena ndiko, ninakotaka kuzikwa; Bwana na anifanyizie hivi na hivi na kuendelea hivyo, kwani ni kufa tu kutakako tutenga mimi na wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pale utakapokufa nitakufa nami, Na papo hapo nitazikwa; BWANA anitende vivyo na kuzidi, Ila kufa tu kutatutenga wewe nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pale utakapokufia ni pale nitakufia nami, na ni palepale nitazikwa. Yawe anipe azabu kali kama nikitenganishwa nawe isipokuwa tu kwa kifo.”