Ruth 1:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naomi alipoona kuwa Ruthu ameamua kwenda pamoja naye, aliacha kumshawishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naomi alipotambua kwamba Ruthu amenuia kufuatana naye, hakuendelea kumsihi tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi alipomwona kuwa amekaza nia yake kufuatana naye, aliacha kusema naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naomi alipoona kuwa Ruthu ameamua kwenda pamoja naye, aliacha kumshawishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naomi alipotambua kwamba Ruthu amenuia kufuatana naye, hakuendelea kumsihi tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naomi alipotambua kwamba Ruthu amenuia kufuatana naye, hakuendelea kumsihi tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi alipomwona kuwa amekata shauri kufuatana naye, aliacha kumshawishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naomi alipoona kuwa Ruthu ameamua kwenda pamoja naye, aliacha kumshawishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipomwona, ya kuwa amejishupaza kwenda naye, akaacha kusema naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi alipomwona kuwa amekaza nia yake kufuatana naye, aliacha kusema naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naomi alipoona kwamba Ruta ameamua kwenda pamoja naye, aliacha kumushawishi.