Ruth 1:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naomi akasema, “Msiniite tena Naomi niiteni Mara, kwa maana Mungu mwenye nguvu ameyafanya maisha yangu yawe machungu mno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia, “Msiniite tena Naomi; niiteni Mara, kwa sababu Mwenyezi amenitendea mambo machungu sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Msiniite Naomi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naomi akasema, “Msiniite tena Naomi niiteni Mara, kwa maana Mungu mwenye nguvu ameyafanya maisha yangu yawe machungu mno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia, “Msiniite tena Naomi, niiteni Mara, kwa sababu Mwenyezi amenitendea mambo machungu sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia, “Msiniite tena Naomi, niiteni Mara, kwa sababu Mwenyezi amenitendea mambo machungu sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Msiniite Naomi, niiteni Mara kwa sababu Mwenyezi Mungu amenitenda mambo machungu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naomi akasema, “Msiniite tena Naomi niiteni Mara, kwa maana Mungu mwenye nguvu ameyafanya maisha yangu yawe machungu mno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Msiniite Naomi (Apendezaye), ila mniite Mara (Mwenye uchungu). Kwani Mwenyezi amenifanyizia yenye uchungu sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Msiniite Naomi, niiteni Mara, kwa sababu Mwenyezi Mungu amenitenda mambo machungu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naomi akasema: “Musiniite tena Naomi muniite Mara, kwa maana Mungu Mwenye Nguvu ameyafanya maisha yangu yakuwe machungu sana.