Ruth 1:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo ndivyo Naomi pamoja na Ruthu Mmoabu, mkwewe, walivyorejea kutoka Moabu, na kuwasili Bethlehemu wakati uvunaji wa shayiri ulipokuwa unaanza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Naomi alirudi pamoja na Ruthu Mmoabu mkwe wake, nao wakafika Bethlehemu mwanzoni mwa kuvuna shayiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Naomi akarudi; pamoja na Ruthu Mmoabi, mkwewe; ambao walirudi kutoka nchi ya Moabu; nao wakafika Bethlehemu mwanzo wa mavuno ya shayiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo ndivyo Naomi pamoja na Ruthu Mmoabu, mkwewe, walivyorejea kutoka Moabu, na kuwasili Bethlehemu wakati uvunaji wa shayiri ulipokuwa unaanza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Naomi alirudi pamoja na Ruthu Mmoabi mkwe wake, nao wakafika Bethlehemu mwanzoni mwa kuvuna shayiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Naomi alirudi pamoja na Ruthu Mmoabu mkwe wake, nao wakafika Bethlehemu mwanzoni mwa kuvuna shayiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Naomi akarudi; pamoja na Ruthu Mmoabu, mkwewe; ambao walirudi kutoka nchi ya Moabu; nao wakafika Bethlehemu mwanzo wa mavuno ya shayiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo ndivyo Naomi pamoja na Ruthu Mmoabu, mkwewe, walivyorejea kutoka Moabu, na kuwasili Bethlehemu wakati uvunaji wa shayiri ulipokuwa unaanza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Naomi alivyorudi pamoja na Ruti, mkwewe wa Kimoabu, alipotoka kwenye mbuga za Moabu kurudi kwao, nao wakafika Beti-Lehemu, mavuno ya mawele yalipoanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Naomi akarudi; pamoja na Ruthu Mmoabi, mkwewe; ambao walirudi kutoka nchi ya Moabu; nao wakafika Bethlehemu mwanzo wa mavuno ya shayiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo Naomi pamoja na mukwe wake Ruta wa Moabu walivyorudia kutoka Moabu, na wakafika Betelehemu wakati mavuno ya shayiri yalipokuwa yanaanza.