Ruth 1:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Elimeleki, mumewe Naomi, alifariki na Naomi akaachwa na wanawe wawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Elimeleki mumewe Naomi akafa, hivyo Naomi akabaki na wanawe wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafa Elimeleki, mumewe Naomi; na yule mwanamke akasalia na wanawe wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Elimeleki, mumewe Naomi, alifariki na Naomi akaachwa na wanawe wawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elimeleki mumewe Naomi akafa, Naomi akabaki na wanawe wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Elimeleki mumewe Naomi akafa, hivyo Naomi akabaki na wanawe wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafa Elimeleki, mumewe Naomi; na yule mwanamke akasalia na wanawe wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Elimeleki, mumewe Naomi, alifariki na Naomi akaachwa na wanawe wawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Elimeleki, mumewe Naomi, akafa, akaachwa yeye na wanawe wawili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafa Elimeleki, mumewe Naomi; na yule mwanamke akasalia na wanawe wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Elimeleki, mume wa Naomi, akakufa na Naomi akaachwa na wana wake.