Ruth 1:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vijana hao walioa wasichana wa Kimoabu, Orpa na Ruthu. Baada ya miaka kumi hivi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao wakaoa wanawake Wamoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na wa pili aliitwa Ruthu. Baada ya kuishi huko miaka kumi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakaoa wake katika wanawake wa Moabu; na jina la mmoja aliitwa Orpa, na jina la wa pili Ruthu. Wakakaa huko yapata miaka kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vijana hao walioa wasichana wa Kimoabu, Orpa na Ruthu. Baada ya miaka kumi hivi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao wakaoa wanawake wa Kimoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa na wa pili aliitwa Ruthu. Baada ya miaka kumi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao wakaoa wanawake Wamoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na wa pili aliitwa Ruthu. Baada ya kama miaka kumi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakaoa wanawake wa Kimoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na jina la wa pili Ruthu. Baada ya kukaa huko miaka kumi hivi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vijana hao walioa wasichana wa Kimoabu, Orpa na Ruthu. Baada ya miaka kumi hivi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakajichukulia wanawake wa Kimoabu, mmoja jina lake Orpa, wa pili jina lake Ruti, wakakaa huko kama miaka kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakaoa wake katika wanawake wa Moabu; na jina la mmoja aliitwa Orpa, na jina la wa pili Ruthu. Wakakaa huko yapata miaka kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vijana hao walioa wabinti wa Kimoabu, Orupa na Ruta. Nyuma ya miaka kumi hivi,