Ruth 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mahloni na Kilioni nao pia walifariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maloni na Kilioni pia wakafa. Basi Naomi akabaki hana mume wala wanawe wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafa na Maloni na Kilioni wote wawili; na huyo mwanamke akawa amefiwa na wanawe wawili, na mumewe pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mahloni na Kilioni nao pia walifariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maloni na Kilioni pia wakafa. Basi Naomi akabaki hana mume wala wanawe wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maloni na Kilioni pia wakafa. Basi Naomi akabaki hana mume wala wanawe wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wote wawili Maloni na Kilioni wakafa; na huyo mwanamke akawa amefiwa na wanawe wawili, na mumewe pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mahloni na Kilioni nao pia walifariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wote wawili Maloni na Kilioni walipokufa, yule mwanamke akasalia yeye tu kwa kufiwa na wanawe wawili na mumewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafa na Maloni na Kilioni wote wawili; na huyo mwanamke akawa amefiwa na wanawe wawili, na mumewe pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malona na Kiliona nao vilevile wakakufa.