Ruth 1:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaondoka mahali pale alipoishi pamoja na wakwe zake, wakashika njia ya kurudi Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye na wakwe wake wawili wakaondoka pale walipokuwa wakiishi na kushika njia kurudi nchi ya Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akatoka pale alipokuwapo, na wakweze wawili pamoja naye; wakashika njia ili kurudi mpaka nchi ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaondoka mahali pale alipoishi pamoja na wakwe zake, wakashika njia ya kurudi Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye na wakweze wawili wakaondoka pale walipokuwa wakiishi na kushika njia kurudi nchi ya Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye na wakweze wawili wakaondoka pale walipokuwa wakiishi na kushika njia kurudi nchi ya Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akatoka pale alipokuwa akiishi, na wakweze wawili pamoja naye; wakashika njia ili kurudi mpaka nchi ya Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaondoka mahali pale alipoishi pamoja na wakwe zake, wakashika njia ya kurudi Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatoka mahali hapo, alipokuwa, pamoja na wakwewe wawili, wakashika njia kwenda kurudi katika nchi ya Yuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akatoka pale alipokuwapo, na wakweze wawili pamoja naye; wakashika njia ili kurudi mpaka nchi ya Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaondoka pahali pale alipoishi pamoja na wakwe zake, wakashika njia ya kurudi Yuda.