Ruth 2:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naomi alikuwa na ndugu aliyeitwa Boazi, wa ukoo wa Elimeleki mumewe. Huyo alikuwa mtu mashuhuri na tajiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Naomi alikuwa na jamaa wa upande wa mume wake, kutoka ukoo wa Elimeleki, mtu maarufu ambaye aliitwa Boazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi huyo Naomi alikuwa na ndugu ya mumewe, mtu mkuu mwenye mali, wa jamaa yake Elimeleki, na jina lake aliitwa Boazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naomi alikuwa na ndugu aliyeitwa Boazi, wa ukoo wa Elimeleki mumewe. Huyo alikuwa mtu mashuhuri na tajiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Naomi alikuwa na jamaa wa upande wa mume wake, kutoka katika ukoo wa Elimeleki, jina lake aliitwa Boazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Naomi alikuwa na jamaa wa upande wa mume wake, kutoka ukoo wa Elimeleki, mtu maarufu ambaye aliitwa Boazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi huyo Naomi alikuwa na ndugu wa mumewe, mtu mkuu mwenye mali, wa jamaa yake Elimeleki, na jina lake aliitwa Boazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naomi alikuwa na ndugu aliyeitwa Boazi, wa ukoo wa Elimeleki mumewe. Huyo alikuwa mtu mashuhuri na tajiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikuwa na mtu aliyekuwa fundi wa vita mwenye nguvu, naye alijuana sana na mumewe Naomi, alikuwa wa mlango wa Elimeleki, jina lake Boazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi huyo Naomi alikuwa na ndugu ya mumewe, mtu mkuu mwenye mali, wa jamaa yake Elimeleki, na jina lake aliitwa Boazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naomi alikuwa na ndugu aliyeitwa Boazi, wa ukoo wa Elimeleki mume wake. Huyo alikuwa mutu mwenye heshima na tajiri.