Ruth 2:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zaidi ya hapo, vuteni masuke kutoka katika matita na mumwachie aokote bila kumkaripia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake, toeni masuke katika miganda, mwachieni ayaokote, na msimkemee.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mtoleeni kidogo katika matita na kukiacha, na akiokote, wala msimkataze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zaidi ya hapo, vuteni masuke kutoka katika matita na mumwachie aokote bila kumkaripia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake, toeni masuke katika miganda, mwacheni ayaokote na msimkemee.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake, toeni masuke katika miganda, mwachieni ayaokote, na msimkemee.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mtoleeni kidogo katika matita na kukiacha, na akiokote, wala msimkataze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zaidi ya hapo, vuteni masuke kutoka katika matita na mumwachie aokote bila kumkaripia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo migandani mtoe mengine, myaache, aje kuyaokoteza, msimkaripie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mtoleeni kidogo katika matita na kukiacha, na akiokote, wala msimkataze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaidi ya pale, muchomoe masuke kutoka katika miganda na mumwachie aokote bila kumukaripia.”