Ruth 2:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akachukua mavuno hayo hadi mjini na kumwonesha mama mkwe wake kiasi alichookota. Pia alikitoa kile chakula alichobakiza baada ya kushiba, akampa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaibeba na kuelekea mjini, naye mama mkwe wake akaona jinsi alivyoweza kuokota nafaka nyingi. Pia Ruthu akachukua kile alichobakiza baada ya kula na kushiba, akampa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajitwika, akaenda zake mjini. Akamwonyesha mkwewe zile alizoziokota; akavitoa vile vyakula alivyovisaza alipokwisha kushiba, akampa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akachukua mavuno hayo hadi mjini na kumwonesha mama mkwe wake kiasi alichookota. Pia alikitoa kile chakula alichobakiza baada ya kushiba, akampa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaibeba na kuelekea mjini, naye mama mkwe wake akaona jinsi alivyoweza kuokota nafaka nyingi. Pia Ruthu akachukua kile alichobakiza baada ya kula na kushiba, akampa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaibeba na kuelekea mjini, naye mama mkwe wake akaona jinsi alivyoweza kuokota nafaka nyingi. Pia Ruthu akachukua kile alichobakiza baada ya kula na kushiba, akampa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajitwika, akaenda zake mjini. Akamwonesha mkwewe zile alizoziokota; akavitoa vile vyakula alivyovisaza alipokwisha kushiba, akampa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akachukua mavuno hayo hadi mjini na kumwonesha mama mkwe wake kiasi alichookota. Pia alikitoa kile chakula alichobakiza baada ya kushiba, akampa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayachukua, akaja mjini. Mkwewe alipoyaona hayo maokotezo yake, akayatoa nayo, aliyoyasaza hapo, alipokula na kushiba, akampa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajitwika, akaenda zake mjini. Akamwonyesha mkwewe zile alizoziokota; akavitoa vile vyakula alivyovisaza alipokwisha kushiba, akampa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akatwaa mavuno hayo mpaka katika muji na kumwonyesha mama mukwe wake kiasi alichookota. Vilevile alikitoa kile chakula alichokiacha kisha kushiba, akamupa.