Ruth 2:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Ruthu Mmoabu akasema, “Isitoshe, aliniambia nijiunge pamoja na wafanyakazi wake mpaka wamalize mavuno yote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Ruthu, Mmoabu, akasema, “Hata aliniambia, ‘Kaa pamoja na watumishi wangu hadi watakapomaliza kuvuna nafaka yangu yote.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Ruthu Mmoabi akasema, Naam, akaniambia, Ukae papa hapa karibu na vijana wangu, hata watakapomaliza mavuno yangu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Ruthu Mmoabu akasema, “Isitoshe, aliniambia nijiunge pamoja na wafanyakazi wake mpaka wamalize mavuno yote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Ruthu, Mmoabi, akasema, “Hata aliniambia, ‘Kaa pamoja na watumishi wangu mpaka watakapomaliza kuvuna nafaka yangu yote.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Ruthu, Mmoabu, akasema, “Hata aliniambia, ‘Kaa pamoja na watumishi wangu mpaka watakapomaliza kuvuna nafaka yangu yote.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Ruthu Mmoabi akasema, Naam, akaniambia, Ukae papa hapa karibu na watumishi wangu, hadi watakapomaliza mavuno yangu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Ruthu Mmoabu akasema, “Isitoshe, aliniambia nijiunge pamoja na wafanyakazi wake mpaka wamalize mavuno yote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ruti wa Moabu akamwambia: Tena ameniambia: Fuatana na hawa vijana wa kwangu, mpaka watakapoyamaliza mavuno yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Ruthu Mmoabi akasema, Naam, akaniambia, Ukae papa hapa karibu na vijana wangu, hata watakapomaliza mavuno yangu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Ruta wa Moabu akasema: “Aliniambia vilevile nishikamane pamoja na watumishi wake mpaka wamalize mavuno yote.”