Ruth 2:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya muda, Boazi alifika kutoka Bethlehemu akawasalimu wavunaji, akasema, “Mwenyezi-Mungu awe nanyi.” Nao wakamjibu, “Mwenyezi-Mungu na akubariki.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Papo hapo Boazi akarudi kutoka Bethlehemu, akawasalimu wavunaji, akasema, “Mwenyezi Mungu awe nanyi!” Nao wakamjibu, “Mwenyezi Mungu akubariki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, Boazi akaja kutoka Bethlehemu kawaamkia wavunaji, akasema, Bwana akae nanyi. Nao wakamwitikia, Bwana na akubariki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya muda, Boazi alifika kutoka Bethlehemu akawasalimu wavunaji, akasema, “Mwenyezi-Mungu awe nanyi.” Nao wakamjibu, “Mwenyezi-Mungu na akubariki.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Papo hapo Boazi akarudi kutoka Bethlehemu, akawasalimu wavunaji, akasema, “BWANA awe nanyi!” Nao wakamjibu, “BWANA akubariki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Papo hapo Boazi akarudi kutoka Bethlehemu, akawasalimu wavunaji, akasema, “ bwana awe nanyi!” Nao wakamjibu, “ bwana akubariki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tazama, Boazi akaja kutoka Bethlehemu na kuwaamkia wavunaji, akasema, BWANA akae nanyi. Nao wakamwitikia, BWANA na akubariki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya muda, Boazi alifika kutoka Bethlehemu akawasalimu wavunaji, akasema, “Mwenyezi-Mungu awe nanyi.” Nao wakamjibu, “Mwenyezi-Mungu na akubariki.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Boazi alipokuja toka Beti-Lehemu, akawaambia wavunaji: Bwana awe nanyi! Wakamwitikia: Bwana akubariki!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, Boazi akaja kutoka Bethlehemu kawaamkia wavunaji, akasema, BWANA akae nanyi. Nao wakamwitikia, BWANA na akubariki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya muda, Boazi akafika kutoka Betelehemu, akawasalimia wavunaji, akasema: “Yawe akuwe nanyi.” Nao wakamujibu: “Yawe akubariki.”