Ruth 2:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Boazi akamwuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule msichana ni nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Boazi akamuuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule mwanamwali ni wa nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Boazi akamwuliza mtumishi aliyewasimamia wavunaji, Na huyu je! Ni msichana wa nani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Boazi akamwuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule msichana ni nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Boazi akamwuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, huyo mwanamwali ni wa nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Boazi akamuuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule mwanamwali ni wa nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Boazi akamwuliza mtumishi aliyewasimamia wavunaji, Na huyu je! Ni msichana wa nani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Boazi akamwuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule msichana ni nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Boazi akamwuliza kijana aliyewasimamia wavunaji: Huyu kijana wa kike ni wa nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Boazi akamwuliza mtumishi aliyewasimamia wavunaji, Na huyu je! Ni msichana wa nani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Boazi akamwuliza musimamizi wa wavunaji: “Yule binti ni nani?”