Ruth 2:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo kiongozi wa wavunaji akajibu, “Ni msichana Mmoabu aliyekuja pamoja na Naomi kutoka katika nchi ya Moabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msimamizi akamjibu, “Ni yule Mmoabu aliyerudi kutoka nchi ya Moabu pamoja na Naomi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule msimamizi aliyewasimamia wavunaji akajibu, akasema, Ni yule msichana Mmoabi aliyerudi pamoja na Naomi, kutoka nchi ya Moabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo kiongozi wa wavunaji akajibu, “Ni msichana Mmoabu aliyekuja pamoja na Naomi kutoka katika nchi ya Moabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msimamizi akamjibu, “Yeye ni yule Mmoabi aliyerudi kutoka nchi ya Moabu pamoja na Naomi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msimamizi akamjibu, “Ni yule Mmoabu aliyerudi kutoka nchi ya Moabu pamoja na Naomi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule msimamizi aliyewasimamia wavunaji akajibu, akasema, Ni yule msichana Mmoabi aliyerudi pamoja na Naomi, kutoka nchi ya Moabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo kiongozi wa wavunaji akajibu, “Ni msichana Mmoabu aliyekuja pamoja na Naomi kutoka katika nchi ya Moabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule kijana aliyewasimamia wavunaji akamjibu akimwambia: Huyu ni kijana wa Kimoabu aliyerudi na Naomi, alipotoka kwenye mbuga za Moabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule msimamizi aliyewasimamia wavunaji akajibu, akasema, Ni yule msichana Mmoabi aliyerudi pamoja na Naomi, kutoka nchi ya Moabu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule kiongozi wa wavunaji akajibu: “Ni binti Mumoabu aliyekuja pamoja na Naomi kutoka katika inchi ya Moabu.