Ruth 2:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
angalia mahali wavunapo ujiunge nao. Nimewaonya vijana hawa wasikusumbue. Na ukiona kiu, nenda kwenye mitungi na unywe maji waliyoyateka hao vijana.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Angalia shamba wanaume wanamovuna, ufuate nyuma yao. Nimewaamuru wanaume hawa wasikuguse. Wakati wowote ukiona kiu, nenda kwenye mitungi ukanywe maji waliyoyateka wanaume hawa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho yako na yaelekee konde walivunalo, ufuatane nao; je! Sikuwaagiza vijana wasikuguse? Tena, ukiona kiu, uende kwenye vyombo, nawe uyanywe waliyoyateka hao vijana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
angalia mahali wavunapo ujiunge nao. Nimewaonya vijana hawa wasikusumbue. Na ukiona kiu, nenda kwenye mitungi na unywe maji waliyoyateka hao vijana.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Angalia shamba wanamovuna, ufuate nyuma yao. Nimewaamuru hao wanaume wasikuguse. Wakati wo wote ukiona kiu, nenda kwenye mitungi ukanywe maji waliyoyateka hao wanaume.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Angalia shamba wanaume wanamovuna, ufuate nyuma yao. Nimewaamuru wanaume hawa wasikuguse. Wakati wowote ukiona kiu, nenda kwenye mitungi ukanywe maji waliyoyateka wanaume hawa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho yako na yaelekee shamba walivunalo, ufuatane nao; je! Sikuwaagiza vijana wasikusumbue? Tena, ukiona kiu, uende kwenye vyombo, nawe uyanywe waliyoyateka hao vijana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
angalia mahali wavunapo ujiunge nao. Nimewaonya vijana hawa wasikusumbue. Na ukiona kiu, nenda kwenye mitungi na unywe maji waliyoyateka hao vijana.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elekeza macho tu shambani, wanapovuna, uwafuate! Nimewaagiza hawa vijana, wasikusumbue. Ukiona kiu, nenda tu kwenye vyombo vyao, kanywe vijana hawa waliyoyachota!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho yako na yaelekee konde walivunalo, ufuatane nao; je! Sikuwaagiza vijana wasikuguse? Tena, ukiona kiu, uende kwenye vyombo, nawe uyanywe waliyoyateka hao vijana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia pahali wanapovuna ufuate nyuma yao. Nimewaonya vijana hawa wasikusumbue. Na ukisikia kiu, kwenda kwenye mitungi na ukunywe maji vijana hao waliyoyateka.”