Ruth 3:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya muda, Naomi mkwewe alimwambia Ruthu, “Ni wajibu wangu kukutafutia mume ili upate mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Naomi akamwambia mkwewe, “Binti yangu, nitakutafutia pumziko ili upate mema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Naomi akamwambia mkwewe, Je! Mwanangu, si vizuri nikutafutie raha, ili upate mema?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya muda, Naomi mkwewe alimwambia Ruthu, “Ni wajibu wangu kukutafutia mume ili upate mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Naomi akamwambia mkwewe, “Binti yangu, je, nisingelikutafutia pumziko ambako utatunzika vyema?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Naomi akamwambia mkwewe, “Binti yangu, je, nisingelikutafutia pumziko ambako utatunzika vyema?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Naomi akamwambia mkwewe, Je! Mwanangu, si vizuri nikutafutie raha, ili upate mema?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya muda, Naomi mkwewe alimwambia Ruthu, “Ni wajibu wangu kukutafutia mume ili upate mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naomi akamwambia mkwewe: Mwanangu, hainipasi kukutafutia mahali pa kutulia patakapokufaa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Naomi akamwambia mkwewe, Je! Mwanangu, si vizuri nikutafutie raha, ili upate mema?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja, Naomi mama mukwe wa Ruta akamwambia: “Inanipasa kwangu kukutafutia mume kusudi upate uheri.