Ruth 3:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni kweli kwamba ni jukumu langu kukutunza, lakini kuna pia mwenye jukumu la kukutunza na ambaye yu karibu zaidi kuliko mimi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa ni kweli kwamba mimi ndiye jamaa aliye karibu, bado kuna mtu mwingine wa jamaa aliye karibu zaidi wa kukomboa kuliko mimi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ndiyo kweli ya kuwa mimi ni wa jamaa yako aliye karibu; lakini kuna mtu wa jamaa aliye karibu kuliko mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni kweli kwamba ni jukumu langu kukutunza, lakini kuna pia mwenye jukumu la kukutunza na ambaye yu karibu zaidi kuliko mimi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa ni kweli kwamba mimi ndiye jamaa aliye karibu, lakini kuna mtu mwingine wa jamaa aliye karibu zaidi wa kukomboa kuliko mimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa ni kweli kwamba mimi ndiye jamaa aliye karibu, bado kuna mtu mwingine wa jamaa aliye karibu zaidi wa kukomboa kuliko mimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ni kweli kuwa mimi ni jamaa yako aliye karibu; lakini kuna mtu wa jamaa aliye karibu kuliko mimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni kweli kwamba ni jukumu langu kukutunza, lakini kuna pia mwenye jukumu la kukutunza na ambaye yu karibu zaidi kuliko mimi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa hii ni kweli, mimi ni mwingiliaji; lakini yuko mwingiliaji mwenzangu anayepaswa nanyi kuliko mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ndiyo kweli ya kuwa mimi ni wa jamaa yako aliye karibu; lakini kuna mtu wa jamaa aliye karibu kuliko mimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kweli kwamba ni mapaswa yangu kukutunza, lakini kuna vilevile mwenye mapaswa ya kukutunza na ambaye ni wa karibu zaidi kuliko mimi.