Ruth 3:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipofika mjini, mkwewe akamwuliza, “Ilikuwaje binti yangu?” Ruthu akamweleza yote ambayo Boazi alimtendea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Ruthu alipofika kwa mama mkwe wake Naomi, akamuuliza, “Je, binti yangu, ilikuwaje huko?” Ndipo akamwelezea kila kitu Boazi alichomfanyia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi alipofika kwa mkwewe, huyo akamwuliza, Je! Mwanangu, imekuwaje? Akamwambia yote yule mtu aliyomfanyia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipofika mjini, mkwewe akamwuliza, “Ilikuwaje binti yangu?” Ruthu akamweleza yote ambayo Boazi alimtendea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Ruthu alipofika kwa mama mkwe wake Naomi, akamwuliza, “Je, binti yangu, ilikuwaje huko?” Ndipo akamwelezea kila kitu Boazi alichomfanyia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Ruthu alipofika kwa mama mkwe wake Naomi, akamuuliza, “Je, binti yangu, ilikuwaje huko?” Ndipo akamwelezea kila kitu Boazi alichomfanyia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi alipofika kwa mkwewe, huyo akamwuliza, Je! Mwanangu, imekuwaje? Akamwambia yote yule mtu aliyomfanyia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipofika mjini, mkwewe akamwuliza, “Ilikuwaje binti yangu?” Ruthu akamweleza yote ambayo Boazi alimtendea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ruti alipoingia kwa mkwewe, akamwuliza: Habari gani, wewe mwanangu? Akamsimulia yote, yule mtu aliyomfanyizia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi alipofika kwa mkwewe, huyo akamwuliza, Je! Mwanangu, imekuwaje? Akamwambia yote yule mtu aliyomfanyia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipofika katika muji, mama mukwe wake akamwuliza: “Ilikuwa namna gani binti yangu?” Ruta akamwelezea yote ambayo Boazi alimutendea.