Ruth 3:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu akaendelea kusema, “Aliniambia nisirudi nyumbani kwa mkwe wangu mikono mitupu na kwa hiyo alinipa shayiri hii ipatayo vipimo sita.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaendelea kusema, “Amenipa shayiri vipimo sita, akaniambia, ‘Usiende kwa mama mkwe wako mikono mitupu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Na vipimo hivi sita vya shayiri amenipa; maana akaniambia, Usiende kwa mkweo mikono mitupu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu akaendelea kusema, “Aliniambia nisirudi nyumbani kwa mkwe wangu mikono mitupu na kwa hiyo alinipa shayiri hii ipatayo vipimo sita.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaendelea kusema, “Amenipa shayiri vipimo sita akisema, ‘Usiende kwa mama mkwe wako mikono mitupu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaendelea kusema, “Amenipa shayiri vipimo sita akisema, ‘Usiende kwa mama mkwe wako mikono mitupu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Na vipimo hivi sita vya shayiri amenipa; maana aliniambia, Usiende kwa mkweo mikono mitupu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu akaendelea kusema, “Aliniambia nisirudi nyumbani kwa mkwe wangu mikono mitupu na kwa hiyo alinipa shayiri hii ipatayo vipimo sita.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akasema: Amenipa hizi pishi sita za mawele, kwani aliniambia: Usiende mikono mitupu kwa mkweo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Na vipimo hivi sita vya shayiri amenipa; maana akaniambia, Usiende kwa mkweo mikono mitupu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akaendelea kusema: “Akaniambia nisirudi kwa nyumba ya mama mukwe wangu mikono mitupu na kwa hiyo akanipa shayiri hii yapata kilo kumi na tano.”