Ruth 3:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Naomi akasema, “Sasa tulia binti yangu Ruthu, mpaka uone litakalotokea. Boazi hatatulia leo mpaka ameyatimiza yote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Naomi akasema, “Subiri binti yangu, hadi utakapojua kwamba hili jambo limeendaje. Kwa sababu mtu huyu hatatulia hadi akamilishe jambo hili leo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mkwewe akasema, Basi, mwanangu, tulia; hata utakapojua jinsi litakavyotukia jambo hili; kwa sababu mtu huyu hataridhika, asipolimaliza jambo hilo leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Naomi akasema, “Sasa tulia binti yangu Ruthu, mpaka uone litakalotokea. Boazi hatatulia leo mpaka ameyatimiza yote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Naomi akasema, “Subiri binti yangu, mpaka utakapojua kwamba hili jambo limekwendaje. Kwa sababu mtu huyu hatatulia mpaka akamilishe jambo hili leo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Naomi akasema, “Subiri binti yangu, mpaka utakapojua kwamba hili jambo limekwendaje. Kwa sababu mtu huyu hatatulia mpaka akamilishe jambo hili leo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mkwewe akasema, Basi, mwanangu, tulia; hadi utakapojua jinsi litakavyotukia jambo hili; kwa sababu mtu huyu hataridhika, asipolimaliza jambo hilo leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Naomi akasema, “Sasa tulia binti yangu Ruthu, mpaka uone litakalotokea. Boazi hatatulia leo mpaka ameyatimiza yote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwambia: Kaa tu, mwanangu, mpaka utakapolijua hilo jambo, litakavyoendelea. Kwani yule mtu hatatulia, asipolimaliza leo hilo jambo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mkwewe akasema, Basi, mwanangu, tulia; hata utakapojua jinsi litakavyotukia jambo hili; kwa sababu mtu huyu hataridhika, asipolimaliza jambo hilo leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Naomi akasema: “Sasa tulia binti yangu Ruta, mpaka uone litakalotokea. Boazi hatatulia leo mpaka ameyatimiza yote.”