Ruth 3:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa huyu Boazi, ambaye ulifanya kazi na wasichana wake, je, si ni wa ukoo wetu? Haya basi sikiliza, jioni hii atakuwa anapura shayiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, Boazi, ambaye umekuwa pamoja na wajakazi wake, si ni jamaa yetu wa karibu? Usiku wa leo atakuwa akipepeta shayiri kwenye sakafu ya kupuria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi na huyu Boazi, je! Siye wa mbari yetu, ambaye ulikuwapo pamoja na wasichana wake? Tazama, usiku wa leo atakuwa akipepeta shayiri pale ugani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa huyu Boazi, ambaye ulifanya kazi na wasichana wake, je, si ni wa ukoo wetu? Haya basi sikiliza, jioni hii atakuwa anapura shayiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, Boazi, ambaye umekuwa pamoja na watumishi wake wasichana, si jamaa yetu wa karibu? Usiku wa leo atakuwa anapepeta ngano kwenye sakafu ya kupuria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, Boazi, ambaye umekuwa pamoja na watumishi wake wasichana, si jamaa yetu wa karibu? Usiku wa leo atakuwa anapepeta ngano kwenye sakafu ya kupuria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi na huyu Boazi, je! Siye wa mbari yetu, ambaye ulikuwapo pamoja na wasichana wake? Tazama, usiku wa leo atakuwa akipepeta shayiri pale ugani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa huyu Boazi, ambaye ulifanya kazi na wasichana wake, je, si ni wa ukoo wetu? Haya basi sikiliza, jioni hii atakuwa anapura shayiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Boazi siye ndugu yetu? ni yule, ambaye ulikuwa na vijakazi wake. Tazama, usiku wa leo Boazi anayapura mawele pake pa kupuria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi na huyu Boazi, je! Siye wa mbari yetu, ambaye ulikuwapo pamoja na wasichana wake? Tazama, usiku wa leo atakuwa akipepeta shayiri pale ugani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa huyu Boazi, ambaye ulifanya kazi na wajakazi wake, si ni wa ukoo wetu? Basi sikiliza, magaribi hii atakuwa katika kiwanja akipepeta shayiri.