Ruth 3:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, Ruthu alikwenda mahali pa kupuria, akafanya jinsi mama mkwe wake alivyomwamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi akashuka hadi kwenye sakafu ya kupuria, akafanya kila kitu mama mkwe wake alichomwambia kufanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akashuka mpaka ugani; akafanya yote kama vile mkwewe alivyomwagiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, Ruthu alikwenda mahali pa kupuria, akafanya jinsi mama mkwe wake alivyomwamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi akashuka mpaka kwenye sakafu ya kupuria, akafanya kila kitu mama mkwe wake alichomwambia kufanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi akashuka mpaka kwenye sakafu ya kupuria, akafanya kila kitu mama mkwe wake alichomwambia kufanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akashuka mpaka ugani; akafanya yote kama vile mkwewe alivyomwagiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, Ruthu alikwenda mahali pa kupuria, akafanya jinsi mama mkwe wake alivyomwamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akashukia hapo pa kupuria, akayafanya yote, mkwewe aliyomwagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akashuka mpaka ugani; akafanya yote kama vile mkwewe alivyomwagiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Ruta akakwenda kule katika kiwanja cha kupepetea, akafanya jinsi mama mukwe wake alivyomwamuru.