Ruth 3:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiku wa manane, Boazi aligutuka, akageuka, akashtuka kumkuta mwanamke amelala miguuni pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku wa manane, kitu kilimshtua Boazi, akajigeuza, akagundua yupo mwanamke amelala miguuni pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ikawa usiku wa manane yule mtu akasituka, akajigeuza; na kumbe! Yupo mwanamke amelala miguuni pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiku wa manane, Boazi aligutuka, akageuka, akashtuka kumkuta mwanamke amelala miguuni pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku wa manane kitu kilimshtua Boazi, akajigeuza, akagundua yupo mwanamke amelala miguuni pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku wa manane, kitu kilimshtua Boazi, akajigeuza, akagundua yupo mwanamke amelala miguuni pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ikawa usiku wa manane yule mtu akashtuka, akajigeuza; na kumbe! Yupo mwanamke amelala miguuni pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiku wa manane, Boazi aligutuka, akageuka, akashtuka kumkuta mwanamke amelala miguuni pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilipokuwa usiku wa manane, yule mtu akakupuka usingizini, akajiinua, mara akamwona mwanamke aliyelala miguuni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ikawa usiku wa manane yule mtu akasituka, akajigeuza; na kumbe! Yupo mwanamke amelala miguuni pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katikati ya usiku, Boazi akasisimuka, akageuka, akashituka kumukuta mwanamuke amelala kwenye miguu yake.