Ruth 3:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akauliza, “Wewe ni nani?” Ruthu akajibu, “Ni mimi Ruthu, mtumishi wako. Kwa kuwa wewe u jamaa yangu wa karibu, uitande nguo yako juu ya mjakazi wako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akauliza, “Wewe ni nani?” Akajibu, “Ni mimi Ruthu, mjakazi wako. Uitande nguo yako juu yangu, kwa sababu wewe ndiwe jamaa wa karibu wa kutukomboa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Ama! Ni nani wewe? Akamjibu, Ni mimi, Ruthu, mjakazi wako; uitande nguo yako juu ya mjakazi wako; kwa kuwa ndiwe wa jamaa aliye karibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akauliza, “Wewe ni nani?” Ruthu akajibu, “Ni mimi Ruthu, mtumishi wako. Kwa kuwa wewe u jamaa yangu wa karibu, uitande nguo yako juu ya mjakazi wako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akauliza, “Wewe ni nani?” Akajibu, “Ni mimi Ruthu, mjakazi wako. Uitande nguo yako juu yangu, kwa sababu wewe ndiwe jamaa wa karibu wa kukomboa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akauliza, “Wewe ni nani?” Akajibu, “Ni mimi Ruthu, mjakazi wako. Uitande nguo yako juu yangu, kwa sababu wewe ndiwe jamaa wa karibu wa kutukomboa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Ama! Ni nani wewe? Akamjibu, Ni mimi, Ruthu, mjakazi wako; uitande nguo yako juu ya mjakazi wako; kwa kuwa ndiwe wa jamaa aliye karibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akauliza, “Wewe ni nani?” Ruthu akajibu, “Ni mimi Ruthu, mtumishi wako. Kwa kuwa wewe u jamaa yangu wa karibu, uitande nguo yako juu ya mjakazi wako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwuliza: Wewe nani? Akasema: Mimi ni kijakazi wako Ruti; nawe umtandazie kijakazi wako pembe la blanketi lako! Kwani wewe ndiwe mwingiliaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Ama! Ni nani wewe? Akamjibu, Ni mimi, Ruthu, mjakazi wako; uitande nguo yako juu ya mjakazi wako; kwa kuwa ndiwe wa jamaa aliye karibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akauliza: “Wewe ni nani?” Ruta akajibu: “Ni mimi Ruta, mujakazi wako. Kwa sababu wewe ni wa jamaa yangu wa karibu, uitande nguo yako juu ya mujakazi wako.”