Ruth 4:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, Boazi akamchukua Ruthu akawa mke wake. Mwenyezi-Mungu alimjalia Ruthu naye akachukua mimba, akajifungua mtoto wa kiume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Boazi akamtwaa Ruthu, naye akawa mke wake. Alipoingia kwake, Mwenyezi Mungu akamjalia Ruthu, naye akapata mimba, akamzaa mtoto wa kiume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Boazi akamtwaa Ruthu, naye akawa mke wake; naye akaingia kwake, na Bwana akamjalia kuchukua mimba, naye akazaa mtoto wa kiume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, Boazi akamchukua Ruthu akawa mke wake. Mwenyezi-Mungu alimjalia Ruthu naye akachukua mimba, akajifungua mtoto wa kiume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Boazi akamwoa Ruthu, naye akawa mke wake. Alipoingia kwake, BWANA akamjalia Ruthu naye akapata mimba, akamzaa mtoto wa kiume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Boazi akamwoa Ruthu, naye akawa mke wake. Alipoingia kwake, bwana akamjalia Ruthu, naye akapata mimba, akamzaa mtoto wa kiume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Boazi akamtwaa Ruthu, naye akawa mke wake; naye akaingia kwake, na BWANA akamjalia kuchukua mimba, naye akazaa mtoto wa kiume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, Boazi akamchukua Ruthu akawa mke wake. Mwenyezi-Mungu alimjalia Ruthu naye akachukua mimba, akajifungua mtoto wa kiume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Boazi alivyomchukua Ruti, akawa mkewe, akaingia nyumbani mwake, Bwana akampa kuwa mwenye mimba, akazaa mtoto wa kiume.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Boazi akamtwaa Ruthu, naye akawa mke wake; naye akaingia kwake, na BWANA akamjalia kuchukua mimba, naye akazaa mtoto wa kiume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Boazi akamutwaa Ruta kuwa muke wake. Yawe akamujalia Ruta naye akapata mimba, akazaa mutoto mwanaume.