Ruth 4:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi Naomi alimchukua mtoto huyo akamweka kifuani mwake na kumlea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Naomi akamtwaa yule mtoto, akamweka kifuani pake, akawa mlezi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi Naomi alimchukua mtoto huyo akamweka kifuani mwake na kumlea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Naomi akamtwaa yule mtoto, akamweka kifuani pake, akawa mlezi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi Naomi alimchukua mtoto huyo akamweka kifuani mwake na kumlea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Naomi akamchukua yule mtoto, akamweka kifuani pake, akawa mlezi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Naomi akamtwaa yule mtoto, akamweka kifuani pake, akawa mlezi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Naomi akamutwaa mutoto yule akamuweka kwenye kifua chake na kuwa mulezi wake.